Breaking News

AJIBU AJA KIVINGINE SIMBA SC

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Simba SC, Ibrahim Ajibu Migomba amesema kuwa mashabiki wanapaswa waendelee kutoa sapoti ya kutosha kwani kazi ndiyo kwanza imeanza.

Ajibu alisema kuwa timu imeanza kwa kasi kutokana na ubora wa kikosi pamoja na ushirikiano uliopo jambo linalowapa nafasi ya kushinda michezo yao.

“Kila mechi kwetu ni muhimu na tunacheza kwa kuamini kwamba ushindani ni mkubwa ila bado tutaendelea kupambana.

“Kazi bado ipo kutokana na ukweli kwamba michezo ipo mingi kushinda kwetu michezo ya mwanzo kunatuongezea hali ya kujiamini katika michezo inayofuata,” alisema. 

Msimu uliopita akiwa Yanga alitoa asisti 17, lakini hadi sasa akiwa ndani ya Simba ametoa moja.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.