Breaking News

VIDEO: SHANGWE ZA NGORONGORO HEROES BAADA YA UBINGWA WA CECAFA U-20

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana U-20 Ngorongoro Heroes jana iliibuka Mabingwa wa CECAFA U-20 kwa kuifunga Kenya U-20 goli 1-0.
Baada ya Ubingwa huo uwanjani Jinja nchini Uganda hali ilikuwa hivi kwa wachezaji, mashabiki kwa furaha ya Ubingwa.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.