KANDA YA ZIWA YAONGOZA KWA UFAULU DARASA LA SABA, 10 BORA HIZI HAPA
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) imetangaza Matokeo ya Darasa la Saba uliofanyika Septemba 11, 2019 na kusema kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78.
Waliofaulu ni asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369. Pia Watahiniwa 909 wamefutiwa matokeo kwa sababu mbalimbali ikiwemo kufanya udanganyifu.
Shule 10 Bora Kitaifa Katika matokeo ya Darasa la Saba 2019 ni kama ifuatavyo
Graiyaki (Mara), Twibhoki (Mara), KemeBos (Kagera), Little Treasures (Shinyanga), Musabe(Mwanza), Tulele(Mwanza), Kwema Morden (Shinyanga), PeaceLand(Mwanza), Mugini (Mwanza) na Rocken Hill (Shinyanga)
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.