Breaking News

SI UGANDA TENA, STARS KUKIPIGA NA SUDAN KWAO

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE
Kikosi cha Taifa Stars kimewasili salama jana nchini Sudan kwa ajili ya mchezo wa marudiano kuwania kushiriki michuano ya CHAN.

Stars inaenda kukipiga na Sudan ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya timu hiyo iliyo chini ya Kocha wa zamani wa Simba, Zdravko Logarušić ambaye ni raia wa Croatia.
Awali kulikuwa na sintofahamu juu ya wapi mechi hiyo itachezewa katika mchezo wa marudiano baada ya kuelezwa inaweza kupigwa Udanda.

Taarifa za mchezo wa marudiano kuwa Uganda ziliibuka kutokana na hali ya Sudan kuwa si shwari sababu ya machafuko ya kisiasa.

Lakini hivi sasa tayri kikosi cha Stars kimewasili nchini humo na inaonesha kuwa asilimia 100 mechi hiyo itachezewa huko.

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.