KISA CAF BOSI MPYA SIMBA AFANYA MAAMUZI MAGUMU
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Ni kama hali ya hewa si shwari kwa Ofisa Mtendaji mpya wa klabu ya Simba, Senzo Mazingisa na hii ni kutokana na kuondolewa kunako Ligi ya Mabingwa Afrika mapema kabisa, imeelezwa.
Simba iliondolewa na UD Songo ya Msumbiji baada ya mechi ya raundi ya pili jijini Dar es Salaam kumalizika kwa sare ya 1-1.
Taarifa imeeleza kuwa kuondolewa kwa Simba kumemuumiza zaidi Mazingisa ambaye hivi karibu alisema wamemua kufanya marekebisho ili kutojirudia kwa makosa hayo siku za mbeleni.
Bosi huyo alieleza kuondolewa mapema kunako Ligi ya Mabingwa Afrika kumesababisha kwa namna moja ama nyingine kushindwa kutangaza jina la klabu vizuri.
Aidha, Mazingisa alieleza kwa sasa wapo kwenye mikakati kambambe ya kuhakikisha baadhi ya mabadiliko yanafanywa ili kuboresha mianya iliyo dhaifu mambo yaweze kwenda sawia kama wanavyotarajia.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.