MANDZUKIC KWENYE RADA ZA UNITED
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Mshambuliaji wa Juventus Mario Mariozukic, amewekwa kwenye hesabu za Manchester United inayonolewa na Ole Gunnar Solskjaer.
United inampigia hesabu nyota huyo Kwa ajili ya dirisha la usajili la mwezi Januari ili kuimarisha kikosi chao hasa kwenye safu ya ushambuliaji ambayo inaonekana ni tatizo.
Dau la nyota huyo ni pauni milioni 10 ambazo United inapaswa itoe kupata saini ya mshambuliaji huyo.
Inaaminika kwamba Mandzukic huenda atakuwa msaada mkubwa ndani ya kikosi hicho ambacho kinawategemea Marcos Rashford ambaye kwenye mechi nane ametupia mabao matatu huku Mason Greenwood kwenye michezo sita hajaambulia hata bao.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.