MADRID KUFANYA KUFURU NYINGINE YA USAJILI
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Real Madrid wanajiandaa kutoa ofa ya pauni milioni 86 kwa Mcolombia James Rodriguez mwenye umri wa miaka 28 anayecheza safu ya kati ili kusaini mkataba na kiungo wa kati wa Chelsea Mfaransa N'Golo Kante. (El Desmarque, via Sport Witness.
Mshambuliaji wa Juventus na Croatia Mario Mandzukic, mwenye umri wa miaka 33, anasakwa na Manchester United lakini ameonywa kuwa atahitaji kushusha kiwango cha madai yake ya mshahara. (ESPN)
Hata hivyo Manchester United wanahofu kuhusu ugumu wa kusaini mkataba mpya wowote na wachezaji wapya katika kipindi cha dirisha la uhamisho wa wachezaji mwezi Januari . (Metro)
Kocha wa Arsenal Unai Emery hatazamii kupanua kikosi chake mweizi Januari wakati wa kipindi cha uhamisho wa wachezaji. (The Athletic, via Mirror)
Tottenham wameimarisha haja yao ya kumtaka Jose Mourinho huku kukiwa na hali ya sintofahamu kuhusu msimamo wa Manchester United wa kumtaka Mauricio Pochettino. (Daily Express)
Mshambuliaji wa Chelsea Mfaransa Olivier Giroud,mwenye umri wa miaka 33, anajiandaa kuondoka katika klabu hiyo mwezi wa Januari ikiwa hatacheza tena. Inter Milan na timu ya Ligi kuu ya Canada Vancouver Whitecaps ni miongoni mwa timu zinazomtaka. (Sun)
Manchester United wanamtaka Mario Mandzukic ashushe viwango vya mshahara ili wamuajiri Mchezaji wa safu ya kati wa Croatia Luka Modric amemuomba mchezaji mwenzake katika kikosi cha Real Madrid Gareth Bale, mwenye umri wa miaka 30, akimtaka abakie katika klabu baada ya mshambuliaji huyo wa kati wa Wales kukaribia kabisa kuhamia Bernabeu msimu uliopita. (Independent)
Kiungo wa kati Mbrazil Philippe Coutinho, mwenye umri wa miaka 27, bado anaweza kurudi Liverpool - ikiwa Bayern Munich wataaamua kutosaini mkataba wa kudumu na yeye msimu ujao. Kwa sasa anacheza kwa mkopo katika timu hiyo ya Ujerumani kutoka Barcelona. (AS, via TeamTalk)
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.