Breaking News

MADRID, LIVERPOOL, JUVENTUS ZAPIGANA VIKUMBO KUIPATA SAINI YA KINDA HUYU

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE


Mshambuliaji Erling Haaland anayekipiga ndani ya klabu ya Red Bull Salzburg anawindwa na klabu ya Real Madrid ambayo inampigia hesabu kuipata saini yake.

Nyota huyo raia wa Norway ni mtoto wa nyota wa zamani wa Manchester City, Alf Ingle Haaland.

Ana umri wa miaka 19 ni ana balaa akiwa uwanjani kwani kwenye jumla ya mechi 11 alizocheza msimu huu ametupia jumla ya mabao 11.

Sio Real Madrid ya Zinedine Zidane pekee ambao wanamsomea ramani kinda huyo pia hata Juventus nao pia wapo kazini wakisindikizwa na Liverpool.


Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.