Breaking News

MASHABIKI NKANA WASHUSHIWA RUNGU

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE


Imeelezwa kuwa klabu ya Nkana FC ya Zambia imewafungia maisha mashabiki 10 kuhudhuria mechi za timu hiyo kutokana na kuwafanyia fujo wachezaji wake pamoja na benchi la ufundi.

Ikumbukwe mashabiki hao walifanya vurugu kwa kuwarushia mawe wachezaji ikiwemo kuwarushia mawe kwa kutumia manati baada ya kufungwa na Forest Rangers bao 1-0 iliyokuwa ya Ligi Kuu.

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.