Breaking News

KELVIN JOHN 'MPAPPÊ' AFICHUA SIRI YA KUZOA TUZO MBILI CECAFA

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Mfungaji Bora wa michuano ya CECAFA na mchezaji Bora Kelvin Pius John 'Mbappê' amesema kuwa tuzo hizo ameipata kutokana na ushirikiano wa wachezaji kiujumla.

Mbappe amefunga jumla ya mabao saba kwenye michezo mitano ambayo wamecheza na walitwaa kombe la CECAFA kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kenya kwenye michuan hiyo iliyofanyika nchini Uganda.

"Ni furaha kuona malengo ya timu yamekamilika na tunaamini ni kutokana na maombi pamoja na ushirikiano ndivyo vinavyotupa mafanikio," amesema.


Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.