MIRAJI KUWAGAWIA WACHEZAJI ZAWADI
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Mshambuliaji wa Simba Miraji Athumani 'Sheva' atapokea kitita cha Tsh Milioni Moja pamoja na kin'gamuzi cha Azam TV baada ya kuibuka mchezaji bora wa mwezi September.
Miraji amesema mafanikio aliyopata yamechangiwa na wachezaji wenzake katika klabu ya Simba, hivyo wanastahili kupata sehemu ya zawadi aliyopata yeye.
"Mpira sichezi peke yangu uwanjani na kama si wachezaji wenzangu nisingeweza kuifungia Simba mabao, kusababisha bao wala kuwa na kiwango ambacho kwa sasa ninacho," amesema
Miraji amekuwa na mwanzo mzuri tangu arejee klabuni hapo akitokea Lipuli FC ya mkoani Iringa, ambapo mpaka sasa ana mabao 3 na kutengeneza mabao 2.
Kiwango chake kimempa nafasi ya kuitwa timu ya Taifa ambayo October 14 itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Rwanda na baadae kuelekea Uganda kuikabili Sudan katika mchezo wa marejeano October 18.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.