Breaking News

PICHA: TAMASHA LA FIESTA LAACHA HISTORIA YA BURUDANI SUMBAWANGA

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Tamasha la Tigo Fiesta mwaka 2019 weekend hii liliendelea kutoa burudani huko Sumbawanga ambapo zaidi ya wasanii 20 walipata fursa ya kutoa burudani ya nguvu iliyoacha historia. Angalia picha za tukio hilo.
Maelfu ya wapenda burudani wa mkoa wa Rukwa na Mikoa ya karibu wakifurahia burudani mbali mbali zinazotolewa katika jukwaa la Tigo Fiesta saizi yako Mjini Sumbawanga
Msanii Mr Blue akitumbuIza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo Sumbawanga

Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Dkt. Khalfan Haule akimtambulisha mbunge wa Jimbo la Sumbawanga mjini mh Aeshi Hilaly na kuchemza muziki jukwaani usiku wa kuamkia leo Sumbawanga
Msanii wa Bongofleva Barnaba akiwajibika jukwaani wakati akitumbuiza kwenye Tamasha la Tigo Fiesta SIZe Yako liliofanyika jana mjini Sumbawanga.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Joriii akiitawala jukwaa la Tigo Fiesta 2019 Mjini Sumbawanga usiku wa kuamkia leo.
Msanii wa bongoflava Jay Melody akiwa jukwaani katika tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia leo mjini Sumbawanga,.
Mtangazaji wa kipindi cha XXL kinachorushwa na radio ya crouds fm ambaye alikuwa moja washereheshaji katika tamasha la Tigo Fiesta Sumbawanga akiwa na wapenzi wa kipndi hicho kutoka Sumbawanga.

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.