SIMBA YALIPIZA KISASI KWA MASHUJAA, MLIPILI AUPONDA UWANJA
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Bao pekee la Simba SC kupitia kwa Sharaf Shiboub mnamo dakika ya 56 kipindi cha pili, limeipa ushindi timu hiyo dhidi ya Mashujaa katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Mashujaa FC uliopigwa jana Jumatatu kwenye uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Simba imecheza mechi yake ya kirafiki ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mechi zijazo za Ligi Kuu Bara msimu huu.
Katika mchezo huo, uwanja wa Lake Tanganyika ulionekana kuwa na changamoto haswa kwa Simba kutokana na vipara vingi na sehemu kadhaa zikiwa hazina nyasi.
Mapema baada ya mechi kumalizika, Beki Yusuph Mlipili, amesema wangeweza kushinda zaidi ya bao tatu lakini uwanja ulikuwa shida kwao.
"Uwanja kwakweli upande wetu ulikuwa na changamoto nyingi.
"Tungeweza kushinda zaidi ya bao tatu, hii imepelekea tushindwe kucheza kama ambavyo tumezeoa kucheza siku zote," amesema Mlipili.