TANZANIA BARA YAICHAPA KENYA NA KUTWAA KOMBE LA CECAFA CHALLENGE U20
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
TIMU ya Tanzania Bara imefanikiwa kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 20, CECAFA Challenge U20 baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Kenya katika mchezo wa fainali uliofanyika Uwanja wa Njeru, Jinja nchini Uganda jioni ya jana.
Hilo linakuwa taji la pili tu kwa Tanzania Bara kihistoria la CECAFA Challenge U20, michuano ambayo imekuwa ikifanyika kwa nadra kutokana na ukosefu wa fedha za maandalizi. Mara ya kwanza Bara ilitwaa taji hilo mwaka 1971.
Katika mchezo wa leo, bao lililowapa taji Tanzania Bara walijifunga wenyewe Kenya dakika ya 45 kupitia kwa mchezaji wao, John Otieno Onyango.
Ikumbukwe Kenya na Tanzania Bara inayofundishwa na kocha wa klabu ya Mtibwa Sugar, Zubery Katwila zilikuwa pamoja Kundi B na mechi baina yao ilimalizika kwa sare ya 2-2.
katika Robo Fainali Tanzania iliwatoa wenyeji, Uganda kwa kuwachapa mabao 4-2 na kwenye Nusu Fainali iliichapa Sudan 2-1.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.