HAWA NDIO WALIOAPISHWA NA RAIS MAGUFULI IKULU DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli, jana Novemba 23, 2019, aliwaapisha Mabalozi Wateule watano, shughuli ambayo inafanyika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
Mabalozi hao ni Balozi Maj. Gen Anselm Shigongo Bahati, ambaye anakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Misri.
Mwingine ni Balozi Mohamed Abdallah Mtonga anayekuwa Balozi wa Tanzania Nchini Abu Dhabi (UAE).
Wa tatu ni Balozi Jestas Abuok Nyamanga, anayekwenda kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Ubelgiji.
Na Balozi wa nne ni Ali Jabir Mwadini ambaye atakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Saudi Arabia.
Na mwisho ni Balozi Dkt. Jilly Elibariki Maleko ambaye anakuwa Balozi wa Tanzania Nchini Burundi.
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE