WAZIRI BASHUNGWA ATEUA BOSS MPYA BRELA
Innocent Bashungwa Waziri wa Viwanda na Biashara amemteua Bi. Loy Mhando kukaimu nafasi ya Afisa Mtendaji Mkuu wa BRELA, anachukua nafasi Emmanuel Kakwezi ambaye nae alikuwa anakaimu nafasi hiyo.


Reviewed by
on
November 23, 2019
Rating: 5