Breaking News

Inspector Haroun afungua kampuni kimya kimya

Msanii wa mkongwe wa muziki, Inspector Haroun amefunguka kuzungumzia kitu anachokifanya kwenye maisha yake nje na muziki na kumfanya asionekane akilalamika njaa kama baadhi ya wasanii wenzake.


Msanii huyo amedai kwa sasa ana miaka mitatu anafanya biashara ya mafuta ya kupikia ambapo kwa sasa anauza zaidi ya lita 1000 za matufa kila baada ya miezi kadhaa.
Kuangalia full interview tembelea YouTube ya Bongo5.
Written and edited by @yasiningitu
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE