LIVE: BILA WOGA “ACHIA HELA MAGUFULI, MAISHA MAGUMU, WATU WANALIA”
Leo November 27, 2019 “Maisha ni magumu fedha hakuna watu wana hali mbaya akina mama wananyang’anywa televisheni, friji kwa ajili ya mikopo. Tunaomba mheshimiwa tuachie fedha mengine yote hatuna tatizo na wewe,” amesema Abel Mpinga, mkazi wa Wilaya ya Igunga mbele ya Rais John Magufuli
Tazama LIVE kwa kubonyeza PLAY hapa chini.