Breaking News

VIDEO: KAULI YA BONDIA MWAKINYO BAADA YA USHINDI WAKE KUZUA UTATA

Bondia namba moja Afrika Hassan Mwakinyo usiku wa November 29 2019 aliingia ulingoni kupambana dhidi ya bondia namba 2 Philippines baada ya Manny Pacquiao anayejulikana kwa jina la Arnel Tinampay, pambano hilo halikuwa la Ubingwa zilikuwa round 10 na Mwakinyo kushinda kwa point.
Mwakinyo alipoulizwa kuwa wengi wanaamini ameshindwa kwa point dhidi ya Tinampay, alijibu kwa kueleza kuwa sio kila mtu aliyejitokeza katika pambano hilo alikuwa ni shabiki wa Mwakinyo wengi hawapendi.
“Ni sawa kwa sababu siamini kama waliokuja wote walikuwa wanampenda Mwakinyo na ndio kawaida ya mchezo wa Boxing, Simba anacheza na Congo hapa na watu wanakuwa upande wa Congo kwa hiyo ni sehemu ya changamoto”>>>Mwakinyo
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE