AUSSEMS ATHIBITISHA KUSIMAMISHWA KAZI
Siku kadhaa baada ya kubainika kuwa kocha mkuu wa Simba SC, Patrick Aussems amesimamishwa kazi na bodi ya wakurugenzi kutokana na kusafiri bila nje Tanzania kwa siku mbili bila ruhusa ya mabosi zake.
Leo Aussems ametangaza kuwa ni kweli bodi ya wakurugenzi ya club hiyo imemsimamisha kazi “Kabla ya yote ningependa kuwashukuru wote kwa jumbe zenu kunisapoti kwa sasa siwezi kufanya kazi yangu bodi imenisimamisha”
“Dhamira yangu ni kuendelea kujitoa kwenu na mashabiki wa Simba, mpira wa kuvutia, ushindi na mataji kila mmoja anatamani kuona hili”
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE