WANAOBAKI NDANI YA KIKOSI CHA YANGA HAWA HAPA
Inaelezwa kuwa uongozi wa Yanga unaweza ukawabisha wachezaji Farouk Shikalo, Lamine Moro na Papy Tshishimbi ndani ya kikosi chao katika msimu huu wa dirisha dogo.
Orodha hiyo inatajwa kutokana na kumshawishi Kaimu Kocha, Boniface Mkwasa juu ya kiwango chao walichoonesha ndani ya timu.
Mbali na hao, wengine waliotajwa ni Juma Balinya, Patrick Sibomana, Sadney Urikobh na David Molinga.
Molinga ambaye amekuwa akitupiwa lawama kadhaa juu ya kukosa umakini langoni, naye anatajwa kama sehemu ya wachezaji watakaobaki ndani ya kikosi cha Yanga.
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE