YANGA YAUNDA KAMATI MPYA YA MASHINDANO
Kamati ya Utendaji ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla, imeunda Kamati mpya ya Mashindano.
Aidha Kamati ya Utendaji imemteua ndugu Rodgers Gumbo ambaye ni Mjumbe wa kamati ya Utendaji kuwa Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano.
Wajumbe walioteuliwa kuunda Kamati ya Mashindano;
1. Eng. Hresi Said
2. Beda Tindwa
3. Thobias Lingalangala
4. Edward Urio
5. Max Komba
6. Salum Mkemi
7. Yossuphed Mhandeni
8. Yanga Makaga
9. Adonis Bitegeko
10. Eng. Heriel Mhulo
11. Eng. Issac Usaka
12. Eng. Deo Mutta
13. Hassan Hussein
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE