AZAM TV YAZINDUA APP MPYA YA KISASA
Mtendaji Mkuu wa Azam Media Limited, Tido Mhando (kulia) akizungumza wakati wa uzinduzi wa App ya kisasa na ya aina yake ya Azam TV, hafla iliyofanyika jana katika makao makuu ya kampuni hiyo, Tabata Jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni, Mkurugenzi wa Masoko, Azam Media, Sabreena Mohamedally.
Ili kuweza kuitumia App mpya ya Azamtv Max, unatakiwa kuingia play store na kupakua upya hata kama ulikuwanayo ile ya zamani, na utatakiwa kujisajili upya.
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE