PICHA: YANGA YAANZA MCHAKATO WA UJENZI WA UWANJA MPYA
Wajumbe wa Kamati ya Ujenzi na Miundombinu ya klabu ya Yanga, na baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Utendaji wakiwa katika kikao cha kujadili masuala mbalimbali ikiwamo hatua za awali za ujenzi wa Uwanja na Akademi ya kisasa ya klabu huko Kigamboni leo Jijini Dar es Salaam.
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE