Breaking News

PICHA: MAANDALIZI YA MWISHO KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA PRISONS


Kikosi cha Yanga leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa raundi ya nne kombe la FA (ASFC) dhidi ya Tanzania Prisons.
 Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Taifa saa 10:00 jioni.





UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE