Breaking News

NINJA AKUTANA NA IBRAHIMOVIC

Beki Mtanzania Abdallah Shaibu 'Ninja' akiwa na nahodha wa Klabu ya LA Galaxy ya Marekani, Zlatan Ibrahimovic kwenye mazoezi ya kikosi cha timu hiyo.

Shaibu yupo LA Galaxy kwa mkopo akitokea klabu ya MFK Karvina ya Jamhuri ya Czech ambayo ilimsajili akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba na Klabu yake ya zamani ya Yanga SC.

Usikubali kupitwa na chochote kile tembelea App hii kila mara kupata Habari zote zinazojiri Tanzania na nje ya Tanzania katika Michezo, Magazeti, Mahusiano, Elimu, Ajira, Video, Audios, Tamthilia na Udaku.