Breaking News

VIDEO: JPM AWAOMBEA MSAMAHA MAFISADI KWA DPP

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

“Wapo watu wamekaa mahabusu kwa kesi za uhujumu uchumi, inawezekana wapo tayari kuomba msamaha,nakurejesha pesa, DPP katika kipindi cha siku 7 ningeshauri kama sheria inaruhusu wakatoke humo ndani,haya nimapendekezo sijaingilia Mahakama”-JPM

“Wapo waliotakatisha pesa atubu kwamba sitotakatisha tena alipe hela aachiwe, anapowekwa mahabusu miaka 3 inaumiza, nisingependa kuongoza na kuna wanaotoa machozi, ningekuwa na uwezo kusingekuwa na mfungwa hata mmoja Mahabusu ili askari Magereza wafanye kazi nyingine” – JPM

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.