Breaking News

YANGA YAUNDA KAMATI YA UFUNDI

Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi

ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA 
HAKIKISHA UMEUPDATE

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla kwa kushirikiana na Kamati ya Utendaji, ameteua Wajumbe 12 kuunda Kamati mpya ya Ufundi.

Salum Rupia ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo huku Dominick Albinus akiwa Makamu Mwenyekiti.

Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.