MBOSSO ATOBOA SIRI YA KUBAKI WCB
Baada ya kufanya maboresho katika App yetu sasa tunakuomba ufanye ku update ili kuendelea kupata habari zetu zote pamoja na kutazama mechi live, kusikiliza radio zote za Tanzania na mengine mengi katika ubora zaidi
ILI KU UPDATE BOFYA👉👉👉 HAPA
HAKIKISHA UMEUPDATE
Wakati memba mwenzao wa Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Harmonize akidaiwa kuondoka lebo hiyo, mkali wa Bongo Fleva, Mbosso ametoboa siri ya yeye kubaki.
Akipiga stori mbili tatu na Showbiz, Mbosso alisema kitu kinachomfanya aendelee kuithamini na kubaki katika lebo hiyo ni kitendo cha kumchukua kipindi kukiwa hakuna mtu aliyemhitaji.
“Watu hawaelewi tu, ngoja niwape siri! Katika kipindi ambacho WCB inanichukua, kulikuwa hakuna mtu anayenihitaji yaani hakuna mtu aliyekuwa anaamini ndani ya Mbosso, WCB ikanichukua na kufanya asilimia kubwa ya watu kuniamini,” alisema Mbosso.
Zaidi Na Zaidi Tembelea App Hii Kila Mara , Kila Saa Kupata Habari Zote Zinazojiri Tanzania Na Nje Ya Tanzania Katika Mapenzi Na Mahusiano, Elimu, Ajira, Michezo, Maisha, Magazeti, Videos, Audios, Tamthilia Na Burudani.