CNN YAMTAJA DIAMOND KUWA MIONGONI MWA WASANII 10 WAKUBWA BARANI AFRIKA
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Tanzania Diamond Platnumz ametajwa kwenye orodha ya wasanii 10 bora kutoka barani Afrika.
CNN imeandaa orodha hiyo ya nyota 10 wakubwa zaidi za muziki Afrika mwishoni mwa juma na Nigeria ilionyeshwa kwa kiburi kwa kutoa wasanii watano bora Burna Boy, Yemi Alade, Wizkid, Mr Eazi, na Tiwa Savage.
1. Burna Boy – Nigeria
2. Angelique Kidjo – Benin
3. Diamond Platnumz – Tanzania
4. Yemi Alade – Nigeria
5. Tiwa Savage – Nigeria
6. Wizkid – Nigeria
7. Mr. Eazi – Nigeria
8. Sho Madjozi – South Africa
9. Busiswa Gqulu – South Africa
10. Mwila Musonda, aka Slapdee – Zambia
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE