Breaking News

YANGA KUIFUATA ALLIANCE FC


Baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya JKT Tanzania, kikosi cha Yanga kitaelekea mkoani Mwanza kucheza moja ya michezo yake ya viporo dhidi ya Alliance School FC.

Mchezo huo utapigwa Ijumaa, Novemba 29 kwenye uwanja wa CCM Kirumba uliopo Jijini Mwanza.


Aidha kama hakutakuwa na mabadiliko, Yanga itashuka tena dimbani December 02 kuikabili KMC FC kabla ya ligi kusimama kupisha michuano ya CECAFA Chalenji CUP ambayo ratiba inaonyesha itaanza December Mosi mpaka December 19 nchini Uganda.
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE