YANGA YAITISHA MKUTANO MKUU WA DHARURA
Uongozi wa klabu ya Yanga umeitisha Mkutano Mkuu wa dharura wa Wanachama ambao utafanyika February 16, 2020 katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.
Ajenda kuu ya Mkutano huo ni mabadiliko ya Katiba, ikiwa ni hatua kuelekea mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga.
UPDATE NIJUZE HABARI APP, CLICK HERE